Lupita Akiwa Na Rais Obama Na Mke Wake Michelle Obama Ndani Ya White House.

Amefuatilia na vyombo vingi vya habari duniani toka alivyofanya filamu ya 12 Years A Slave na kupata tuzo ya Oscar.
Lupita ameandikwa na magazeti na majarida makubwa kuhusu mambo tofauti kama filamu, familia na mitindo ya mavazi.
Hivi karibuni alipata mwaliko wa kwenda White kuonana na Obama pamoja na watu tofauti kwenye chakula cha usiku.
No comments:
Post a Comment
ADD COMMENTS