Kutana na Huyu Star Wa Hollywood anayekula Udongo.

Muigizaji maarufu wa Hollywood nchini Marekani,
Shailene Woodley,amesema wiki hii kuwa yeye hupenda kula udongo kila
siku ili kuwa na afya bora.
Shailene anasema hupima kijiko kimoja cha
udongo na kula kila siku.
Tabia hii alijifua kutoka kwa dereva mwafrika na aliona wakisafisha udongo kabla ya kitendo cha kuula.
Wanasayanci wanameipa jina tabia ya kula udongo kuitwa Geophagy.
No comments:
Post a Comment
ADD COMMENTS