Mechi Ya Simba Na Ashanti UTD Imehairishwa Hadi Kesho Jumapili April 13

Shirikisho
la mpira wa miguu Tanzania kupitia Ofisa wa habari na Mawasiliano
Bw.Boniface Wambura ametangaza kuwa Mechi ya raundi ya 25 ya Ligi Kuu ya
Vodacom (VPL) kati ya
Simba
na Ashanti United inachezwa Jumapili Aprili 13 mwaka huu katika Uwanja
wa Taifa, Dar es Salaam muda kuanzia saa 10 kamili jioni Na si Jumamosi
Aprili 12 mwaka huu kama ilivyotangazwa hapo awali.
No comments:
Post a Comment
ADD COMMENTS