Huyu Msanii apost picha akiwa mtupu kwenye Instagram,aweka taulo pembeni.

Miley
Cyrus ameamua kuwa mwehu kivyake na kuvunja maadili bila kuogopa lolote
litakalosemwa juu yake kwa kupost picha akiwa mtupu kwenye Instagram.
Leo
(April 11), mwimbaji huyo amepost picha akiwa amevaa taulo jeupe huku
akitengenezwa nywele, taulo hilo likiwa ndilo vazi pekee lililomwilini
mwake na kuandika “#TBT (2hours late but whatevzzzz).
Lakini
baada ya muda kidogo alipost picha ya pili ambapo aliamua kushusha
taulo chini na kufunika maziwa yake na mkono wake wa kushoto na kuandika
“"which means it's technically #FBF #selfieoverload
#iphonestorageatfullcapacity #goingthrudeletings--t
#akastrollingdownmemorylane."
No comments:
Post a Comment
ADD COMMENTS