Mtoto wa Peter Okoye wa P Square Tayari Ana Girlfriend [PICHA]
Mtoto handsome wa
Peter Okoye na Lola Omotayo, Cameron hakika yupo njiani kuwa mtu wa
watoto. Mama yake ameshea picha hizi za Cameron akiwa na Girlfriend
wake. lol
Mama yake na mtoto huyo ameshea picha zao, angalia hapa>>
No comments:
Post a Comment
ADD COMMENTS