LAANA HII!!! DENTI ABAKWA, AOZA SEHEMU ZA SIRI...
INNOCENT MPUMBIYE at MPUMBIYE - 2 hours ago
*MWANAFUNZI au ‘denti’ wa kike,13, ( jina linahifadhiwa) anayesoma darasa
la tano katika*
* shule ya Msingi Unyakumi, mkoani Singida, amefanyiwa unyama kwa kubakwa
na kijana aliyemtaja kwa jina moja la Mapunda ambaye ni dereva wa bodaboda.*
*Akizungumza kwa shida kutokana na maumivu makali aliyonayo akiwa katika
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, denti huyo alisema kwamba mkasa huo
ulimpata Novemba 19, mwaka huu wakati akitoka shule akielekea nyumbami
kwao.*
*Akisimulia mkasa huo mwanafunzi huyo alikuwa na haya ya kusema:“Mimi ni
mtoto yatima wa kufiwa na baba... more »
MKOROGO WAMTIA ADABU WEMA SEPETU.AJUTA KUITUMIA.
INNO at MPUMBIYE - 3 hours ago

*MISS Tanzania 2006 aliye pia staa wa filamu za Bongo, Wema Isaac Sepetu
‘Madam’ amevunja*
* ukimya kwa kuweka wazi kuwa, mkorogo umemtia adabu na anajuta kuutumia
mwilini mwake.*
*Akizungumza juzi na paparazi wetu ofisini kwake jijini Dar, Wema alisema
kuwa baada ya kwenda kliniki nchini China na kupata matatibu ya ngozi yake
ambayo sasa imerudi kama mwanzo amejifunza kitu.NI KITU GANI HICHO?Wema
alisema amejifunza kuwa, binadamu anatakiwa kuishi alivyoumbwa na
Mungu, mambo ya rangi ya mwili hayana nafasi katika uwezo wa
binadamu.ALIAMINI USTAA NI LAZIMA UW... more »
NG'OMBE WA AJABU AJITOKEZA INDIA, ANA MIGUU MITANO.
inno at mpumbiye - 3 hours ago

*A five-legged cow has been hailed a miracle because when pregnant women
touch its fifth hoof they give birth to baby boys.Raj Pratap's
three-year-old male calf, called Raju, has become famous in Raipur, India,
since a woman with four daughters touched the animal's fifth hoof andbegged
for her next child to be a boy.When she gave birth to a twin boys in
February this year, word soon spread that the calf's fifth leg - a very
rare condition which affects just one in every five million cows - was
'lucky'.Since news got out about the fifth leg, Mr Pratap, a ... more »
MKE WANGU ANANIPANGIA RATIBA ZA KUFANYA NAE MAPENZI...!! USHAURI JAMANI NIFANYEJE...??
mpumbiye at mpumbiye - 3 hours ago

*Habari yako Mnyetishaji...Mimi ni Kijana wa miaka 29 , Nimeoa miaka mitatu
iliopita , kabla sijaoa nilikuwa najua nikishaoa na *
*kuwa na mke wangu ndani issue ya matamanio ya kimwili itakuwa hainisumbui
kwa kuwa nitakuwa na mke ndani kila nikitaka kitu napata, lakini imekuwa
kinyume na nilivyofikiria..kwani nimekuwa mtumwa mke wangu ananipangia siku
gani tufanye mapenzi kwa week mara 2 tu , siku zingine hataki kufanya
chochote na mimi na nikilazimisha tunagombana na kutishia kuniacha...jamani
hii ni sawa ?je nifanyaje? ama nitafute demu wa nje? *
KUWA MAKINI,Walaji wa 'kitimoto' kuugua Kifafa.
mpumbiye at mpumbiye - 3 hours ago

*CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimehadharisha walaji wa nyama ya
nguruwe nchini,*
* kuwa wanakabiliwa na hatari ya kupata kifafa.Utafiti wa kisayansi
uliofanywa na SUA, umebaini kuwa baadhi ya nguruwe wana minyoo aina ya tegu
ambao nyama yao ikiliwa bila kuiva vizuri, mlaji atapata minyoo hiyo ambayo
huingia kichwani na kusababisha kifafa.*
*Mhadhiri na Mtafiti wa Idara ya Sayansi ya Wanyama na Uzalishaji ya SUA,
Profesa Faustine Lekule, alisema sampuli za utafiti huo kutoka Mbeya,
zimebaini nguruwe wengi wakiwamo wanaosafirishwa katika miji mikubwa
wameathirika na miny... more »
Gari lakamatwa likiwa na pipi saba na mwili wa marehemu wenye pipi 7 tumboni za vitu vinavyosemekana kuwa ni dawa za kulevya.
INNOCENT at mpumbiye - 3 hours ago

[image: SHILOGOLE]
*Kutoka Morogoro taarifa ni kwamba jeshi la polisi la mkoa huo limefanikiwa
kukamata gari ndogo aina ya *
*Spacio likiwa na mwili wa marehemu ambapo zoezi hilo limefanikiwa baada ya
taarifa kutoka kwa wasamaria wema.*
*Kamanda wa polisi mkoa huo Faustine Shilogile amesema walipata taarifa za
kuwepo kwa gari hilo ambalo lilikuwa linatokea Mbeya kuelekea Dar.*
*Polisi wa mkoa wa Morogoro waliweka mtego kwenye kituo cha Mikumi hatimaye
na kufanikiwa kukamata gari hilo likiwa na watu watatu,pipi saba za vitu
vinavyosadikiwa kuwa ni dawa za kulevya na mwili wa marehemu.*
... more »
DIAMOND AMTAJA TENA WEMA KAMA MCHUMBA WAKE NA AKAPANDA JUKUANI KUWAPA HI MASHABIKI WA DIAMOND.
INNOCENT at MPUMBIYE - 3 hours ago

[image: sdd]*Hii ilikuwa jana pale Leaders club kwenye show ya Diamond
ambapo Wema Sepetu alipanda kwenye *
*stage na kuongea na mashabiki waliofika kwenye show hiyo.*
*Kwenye hiyo show Diamond aliuliza,”Mnataka kumjua mchumba wangu”?*
*Show ilivyoendelea Diamond alitaka kuimba wimbo wa ukimwona akasema,
“Naskia ninayetaka kumuimbia wimbo huu yupo humuhumu ndani”.*
*Wema Sepetu akapanda kwenye stage wakaimba na kucheza wote.*
[image: 994992_654719497904805_1370630389_n]
[image: 379719_654725334570888_100223854_n]
[image: 1499625_654740321236056_1133727884_n]
Je Unaweza Kumruhusu Mchumba Wako Atoke na Wewe Usiku Akiwa Amevae Hivi Kwenda Kwenye Pati ya Krismas? [PICHA]
MPUMBIYE at MPUMBIYE THE DON - 6 hours ago

Kwa hiyo ndio kusema huu ndio mtindo gani aliovaa huyu binti? Jamani hii ni
sawa kweli? Je unaweza kutoka naye akiwa maevaa hivi...?
Angalia picha zaidi hapo chini...
PICHA ZA KRISMAS: Shamrashamra Pande Mbalimbali za Dunia [PICHA]
mpumbiye at mpumbiye - 6 hours ago

IndonesiaNimejaribu kukusanya baadhi ya picha nzuri za matukio ya Krismas
kutoka pande mbalimbali Duniani kwa ajili yako ili uweze kuona nguvu ya
Krismas ilivyo.
Enjoy....
AustraliaFranceGreeceHong KongIndiaIsraelIsraelPakistanPalestineUK
South Korea
JE, WEWE NI MMOJA KATI YA WATU WENYE AIBU MBELE ZA WATU WENGINE..?DAWA IKO HAPA.
Mpumbiyeat mpumbiye - 1 day ago

*Watu wenye aibu ndani yao wanafahamu fika kuwa kuna mambo mazuri
yanawapita lakini wanahisi hawana jinsi ya kubadilisha hali hiyo.*
*Aibu kimahesabu ni sawa na:*
*AIBU = KUKOSA FURSA + KUKOSA FURAHA + KUFAHAMIANA NA WATU WACHACHE*
*Aibu ni kizuizi kikubwa sana kwa mwenye nayo kufikia mambo mazuri katika
jamii.*
*Lakini naomba nikuambie hata kama wewe ni mmoja wao kuanzia leo *
*unaweza kubadilisha hali hiyo kwa kutumia hatua zifuatazo:*
*1.MTAZAMO WAKO JUU YA WATU WENGINE*
*Watu wenye aibu mara nyingi wanajaribu kujitofautisha na *
*watu wapya wanaokutana nao na kuwapa hadhi ina... more »
No comments:
Post a Comment
ADD COMMENTS