Translate
Saturday, December 28, 2013
LADY GAGA NA MADONNA WAWABURUZA KINA JAY ZEE NA BEYONCE KWA MKWANJA 2013
innocent at mpumbiye

Jarida la kibiashara maarufu duniani limetoa orodha yw asanii waliolipwa zaidi kwa mwezi june 2012 had june 2013
1. Madonna - $125 million
2. Lady Gaga - $80 million
3. Bon Jovi - $79 million
4. Toby Keith - $65 million
5. Coldplay - $64 million.
6. Justin Bieber - $58 million
7. Taylor Swift - $55 million
8. Elton John - $54 million
9. Kenny Chesney - $53 million
10. Beyonce - $53 million (tie)
2. Lady Gaga - $80 million
3. Bon Jovi - $79 million
4. Toby Keith - $65 million
5. Coldplay - $64 million.
6. Justin Bieber - $58 million
7. Taylor Swift - $55 million
8. Elton John - $54 million
9. Kenny Chesney - $53 million
10. Beyonce - $53 million (tie)
11. Sean "Diddy" Combs - $50 million
12. Sir Paul McCartney - $47 million
13. Calvin Harris - $46 million
14. Jennifer Lopez - $45 million
15. Roger Waters - $44 million
16. Muse - $43 million (tie)
16. Rihanna - $43 million (tie)
18. Jay Z - $42 million
18. One Direction - $42 million (tie)
20. Dr. Dre - $40 million
20. Red Hot Chili Peppers ($40 million, tie)
22. Rolling Stones - $39 million (tie)
22. Katy Perry - $39 million (tie)
24. Tim McGraw - $33 million (tie)
25. Pink - $32 million (tie)
25. Tiƫsto - $32 million (tie)

*Yuster Nyakachara na Nacklyn Wolper hapo pichani walikuwa katika
maandalizi ya filamu kali *
*ya MAJUTO SI HASARA, Akiongea namasainyotambofu.com Yuster alisema kwamba
katika filamu hiyo amewashirikisha mastaa wengi sana wenye uwezo mkubwa wa
uigizaji na kikubwa zaidi wameitendea haki filamu hiyo ana uhakika
mashabiki wataifurahia.*
Jokate Mwegelo aeleza anachokipenda na asichokipenda kwa wasichana wa Tanzania.

Kama mrimbwende amewasifia wasichana wa Tanzania kwa jinsi wanavyojua kuweka sawa na kupendeza.
“kitu
ambacho nakipenda, napenda kwa sababu wanapendeza, wanapenda
like..kupendeza, wanajitunza vizuri.” Jokate amefunguka kupitia The
Switch ya 100.5 Times Fm.
Lakini kwa upande wa kile ambacho anaona hakiko sawa, uvivu ndio anaoupigia mstari.
“Kitu ambacho sikipendi, ni kwamba…yaani sijui niseme kwamba hawajitumi sanaa. Yaani bado sijaona njaa ile.” Amesema Jokate.
“Kwa
mfano ukiangalia kwa mfano Marekani sasa hivi, all top artists ni
wasichana, kwa hiyo females wanahustle. Wasichana wakibongo tumezoea
sijui kupewapewa au kutafuta kupitia njia za kimkatomkato. That’s a
thing ambacho mimi sikipendi na sitakiappreciate maisha yangu yote.”
Amefunguka Kidoti.
Amefunguka
kuwa wasichana wana fursa nyingi zaidi ya wanaume na kwa kuwa wamepewa
akili pia ni vyema wakazitumia kwa kiwango kinachotosha, “make the most
of it.”
Lakini
pia amekubali kuwa kuna wasichana wengi pia ambao wanaofanya vizuri ,
wasomi na wanaoweza kujituma na wanaongoza katika nyanja mbalimbali.
Angalia Picha Chafu Zilizochukuliwa Kutoka Kwenye Moja ya Filamu Inayotegemea Kutoka Hivi Karibuni [PICHA]
Hakika tasnia ya filamu kwa hapa bongo na hata baadhi ya nchi za Afrika zimekuwa zikipotosha na kuharibu jamii zetu hasa vijana.
Kwenye moja kati ya filamu ambazo inategeme kutoka hivi karibuni hizi ni baadhi ya shots zilizochukuliwa.
Cheki hii kwa mfano....
Je hii ni sahihi kwa maadili ya Kiafrika...?
Ronaldo Asema Atampa Messi Tuzo ya Ballon d’Or
Nguli wa mpira wa miguu toka Brazil, Ronaldo De Lima, amesema kwake yeye tuzo ya FIFA Ballon d’Or angempa Messi mbele ya Cristiano Ronaldo, gazeti la Evening Standard limetaarifu.
Akionyesha kutokuwa na upendeleo kwa mtu anayeshea naye jina, Ronaldo mwenye umri wa miaka 37 sasa, ambaye aliwahi kutwaa taji la Kombe la Dunia mara mbili yaani 1997 na 2003 alisema, “Nitamchagua Messi kwa kuzingatia sababu za kiufundi..... Nitajaribu kuangalia mambo ya kuzingatia kuweza kuchagua nani mshindi atakuwa, ila mmi nadhani huu umekuwa ni mwaka mzuri kwake.”
Thursday, December 26, 2013
MAMBO AMBAYO WANAUME WANAKOSEA WAKATI WA KUTONGOZA MWANAMKE.

1.PAPARA
wanaume wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali inayomfanya
mwanamke akuwekee ugumu.mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba yake.mjomba hata akikupa ujue utasumbuka sana kumpata coz atakufikiria sana juu ya uharaka wako.
2.KUJIFAKE
wanaume wengi tumekuwa tukijipandisha au kujionyesha tofauti na hali zetu.ukiwa unaaproach jaribu kuwa real.huwezi kumwambia mdada unafanya kazi benki afu uko na techno
3.KUTOSOMA MOOD YA MWANAMKE
unapomuaproach mwanamke lazma usome mood yake coz sometime unaweza kutoswa coz hujamsoma mwanamke.unamtongozaje mwanamke asubuhi?,,
4.KUMPONDA UR EX LOVER
mwanamke anakuuliza kwanini uko single,unaanza kumponda ex wako kwa maneno ya kashfa hali kama hii inaweza kumtisha kisaikolojia umtongozae.
5.KULALAMIKA
Unamtongoza mwanamke huku unalalamika juu ya mapenzi oooh mara sijawahi kupendwa.mjomba hapo unaonyesha udhaifu wako.
KWELI DUNIA ADAA!! SOMA KISA HIKI CHA KUSIKITISHA

Hii imetokea wiki kadhaa zilizopita.
Kijana mmoja jirani yangu ana rafiki yake. Walikuwa
wanasoma pamoja. Ni marafiki wakubwa ambao hata wazazi wanajua. Walikuwa wanasoma pamoja na kushirikiana mambo mengi.
Kijana kaenda shule hakumkuta rafiki yake. Kuuliza akaambiwa anaumwa. Kwa mapenzi aliyo nayo kwa rafiki yake akaamua arudi nyumbani abadili nguo ili akamtembelee rafiki yake mgonjwa.
Hapo ndipo alipokutana na zahama. Rafiki yake yuko juu anammega mama yake mzazi, tena sebuleni kwenye kochi! Kijana hakuamini macho yake, kwamba rafiki yake mpenzi anammegea mama yake mzazi!!
Akatoka mbio mpaka kwa uncle wake kumweleza dhahama hiyo. Uncle kajaribu kuweka mambo sawa imeshindikana. Mama kanogewa, kijana kanogewa. Hivi sasa ni kama wameoana, mtaani wanarandaranda na gari ya mama yake rafiki yake, kijana dereva mama abiria! Wala si siri tena
Kijana wa watu amegoma kurudi nyumbani, rafiki yake amemsaliti.
Amehamia kwa uncle wake. Kinachomuumiza kichwa zaidi ni kuwa dada zake wawili wanamuunga mkono mama yao. Hawaoni tatizo liko wapi wakati baba yao alishafariki na mama anahitaji pumziko.
Anachotaka sasa ni ushauri, alipe kisasi au asahau aendelee na hamsini zake?
Na kama ni kulipa kisasi, alipeje? Kijana wa watu amechanganyikiwa hata maendeleo yake darasani yameshuka sana.
Wanajamii changieni mawazo jinsi ya kumshauri kijana huyu asizidi kuathirika
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Kijana mmoja jirani yangu ana rafiki yake. Walikuwa
wanasoma pamoja. Ni marafiki wakubwa ambao hata wazazi wanajua. Walikuwa wanasoma pamoja na kushirikiana mambo mengi.
Kijana kaenda shule hakumkuta rafiki yake. Kuuliza akaambiwa anaumwa. Kwa mapenzi aliyo nayo kwa rafiki yake akaamua arudi nyumbani abadili nguo ili akamtembelee rafiki yake mgonjwa.
Hapo ndipo alipokutana na zahama. Rafiki yake yuko juu anammega mama yake mzazi, tena sebuleni kwenye kochi! Kijana hakuamini macho yake, kwamba rafiki yake mpenzi anammegea mama yake mzazi!!
Akatoka mbio mpaka kwa uncle wake kumweleza dhahama hiyo. Uncle kajaribu kuweka mambo sawa imeshindikana. Mama kanogewa, kijana kanogewa. Hivi sasa ni kama wameoana, mtaani wanarandaranda na gari ya mama yake rafiki yake, kijana dereva mama abiria! Wala si siri tena
Kijana wa watu amegoma kurudi nyumbani, rafiki yake amemsaliti.
Amehamia kwa uncle wake. Kinachomuumiza kichwa zaidi ni kuwa dada zake wawili wanamuunga mkono mama yao. Hawaoni tatizo liko wapi wakati baba yao alishafariki na mama anahitaji pumziko.
Anachotaka sasa ni ushauri, alipe kisasi au asahau aendelee na hamsini zake?
Na kama ni kulipa kisasi, alipeje? Kijana wa watu amechanganyikiwa hata maendeleo yake darasani yameshuka sana.
Wanajamii changieni mawazo jinsi ya kumshauri kijana huyu asizidi kuathirika
Pope Francis Ahutubia Kwenye Ibada Yake ya Kwanza ya Mkesha Wa Krismas Akiwa Pope wa Kanisa Katoliki [PICHA]

Pope Francis alifanya Ibada yake ya kwanza ya mkesha wa Krismasi akiwa kama
Pope usiku wa Jumanne ndani ya St. Peter's Basilica, Vatican.
Kwenye Ibada hiyo ya kwanza akiwa kama Pope wa Kanisa Katoliki, Pope
Francis aliwataka watu kuacha majisifu na ubinafsi na kufungua mioyo yao
kwa Mungu.
Francis, ambaye amekuwa mtu wa kwanza kushika wadhifa huo toka nje ya Bara
la Ulaya ndani ya miaka 1,300 mnamo mwezi March baada ya kujiuzuru kwa Pope
Benedict IX, alihutubia maelfu ya watu waliojazana St Peters Basilica ndani
ya Jiji la Vatican kwenye Mkesha huo wa Krismas.
Kwenye Ibada hiyo ya... more »
LAANA HII!!! DENTI ABAKWA, AOZA SEHEMU ZA SIRI...
INNOCENT MPUMBIYE at MPUMBIYE - 2 hours ago
*MWANAFUNZI au ‘denti’ wa kike,13, ( jina linahifadhiwa) anayesoma darasa
la tano katika*
* shule ya Msingi Unyakumi, mkoani Singida, amefanyiwa unyama kwa kubakwa
na kijana aliyemtaja kwa jina moja la Mapunda ambaye ni dereva wa bodaboda.*
*Akizungumza kwa shida kutokana na maumivu makali aliyonayo akiwa katika
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, denti huyo alisema kwamba mkasa huo
ulimpata Novemba 19, mwaka huu wakati akitoka shule akielekea nyumbami
kwao.*
*Akisimulia mkasa huo mwanafunzi huyo alikuwa na haya ya kusema:“Mimi ni
mtoto yatima wa kufiwa na baba... more »
MKOROGO WAMTIA ADABU WEMA SEPETU.AJUTA KUITUMIA.
INNO at MPUMBIYE - 3 hours ago

*MISS Tanzania 2006 aliye pia staa wa filamu za Bongo, Wema Isaac Sepetu
‘Madam’ amevunja*
* ukimya kwa kuweka wazi kuwa, mkorogo umemtia adabu na anajuta kuutumia
mwilini mwake.*
*Akizungumza juzi na paparazi wetu ofisini kwake jijini Dar, Wema alisema
kuwa baada ya kwenda kliniki nchini China na kupata matatibu ya ngozi yake
ambayo sasa imerudi kama mwanzo amejifunza kitu.NI KITU GANI HICHO?Wema
alisema amejifunza kuwa, binadamu anatakiwa kuishi alivyoumbwa na
Mungu, mambo ya rangi ya mwili hayana nafasi katika uwezo wa
binadamu.ALIAMINI USTAA NI LAZIMA UW... more »
NG'OMBE WA AJABU AJITOKEZA INDIA, ANA MIGUU MITANO.
inno at mpumbiye - 3 hours ago

*A five-legged cow has been hailed a miracle because when pregnant women
touch its fifth hoof they give birth to baby boys.Raj Pratap's
three-year-old male calf, called Raju, has become famous in Raipur, India,
since a woman with four daughters touched the animal's fifth hoof andbegged
for her next child to be a boy.When she gave birth to a twin boys in
February this year, word soon spread that the calf's fifth leg - a very
rare condition which affects just one in every five million cows - was
'lucky'.Since news got out about the fifth leg, Mr Pratap, a ... more »
MKE WANGU ANANIPANGIA RATIBA ZA KUFANYA NAE MAPENZI...!! USHAURI JAMANI NIFANYEJE...??
mpumbiye at mpumbiye - 3 hours ago

*Habari yako Mnyetishaji...Mimi ni Kijana wa miaka 29 , Nimeoa miaka mitatu
iliopita , kabla sijaoa nilikuwa najua nikishaoa na *
*kuwa na mke wangu ndani issue ya matamanio ya kimwili itakuwa hainisumbui
kwa kuwa nitakuwa na mke ndani kila nikitaka kitu napata, lakini imekuwa
kinyume na nilivyofikiria..kwani nimekuwa mtumwa mke wangu ananipangia siku
gani tufanye mapenzi kwa week mara 2 tu , siku zingine hataki kufanya
chochote na mimi na nikilazimisha tunagombana na kutishia kuniacha...jamani
hii ni sawa ?je nifanyaje? ama nitafute demu wa nje? *
KUWA MAKINI,Walaji wa 'kitimoto' kuugua Kifafa.
mpumbiye at mpumbiye - 3 hours ago

*CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimehadharisha walaji wa nyama ya
nguruwe nchini,*
* kuwa wanakabiliwa na hatari ya kupata kifafa.Utafiti wa kisayansi
uliofanywa na SUA, umebaini kuwa baadhi ya nguruwe wana minyoo aina ya tegu
ambao nyama yao ikiliwa bila kuiva vizuri, mlaji atapata minyoo hiyo ambayo
huingia kichwani na kusababisha kifafa.*
*Mhadhiri na Mtafiti wa Idara ya Sayansi ya Wanyama na Uzalishaji ya SUA,
Profesa Faustine Lekule, alisema sampuli za utafiti huo kutoka Mbeya,
zimebaini nguruwe wengi wakiwamo wanaosafirishwa katika miji mikubwa
wameathirika na miny... more »
Gari lakamatwa likiwa na pipi saba na mwili wa marehemu wenye pipi 7 tumboni za vitu vinavyosemekana kuwa ni dawa za kulevya.
INNOCENT at mpumbiye - 3 hours ago

[image: SHILOGOLE]
*Kutoka Morogoro taarifa ni kwamba jeshi la polisi la mkoa huo limefanikiwa
kukamata gari ndogo aina ya *
*Spacio likiwa na mwili wa marehemu ambapo zoezi hilo limefanikiwa baada ya
taarifa kutoka kwa wasamaria wema.*
*Kamanda wa polisi mkoa huo Faustine Shilogile amesema walipata taarifa za
kuwepo kwa gari hilo ambalo lilikuwa linatokea Mbeya kuelekea Dar.*
*Polisi wa mkoa wa Morogoro waliweka mtego kwenye kituo cha Mikumi hatimaye
na kufanikiwa kukamata gari hilo likiwa na watu watatu,pipi saba za vitu
vinavyosadikiwa kuwa ni dawa za kulevya na mwili wa marehemu.*
... more »
DIAMOND AMTAJA TENA WEMA KAMA MCHUMBA WAKE NA AKAPANDA JUKUANI KUWAPA HI MASHABIKI WA DIAMOND.
INNOCENT at MPUMBIYE - 3 hours ago

[image: sdd]*Hii ilikuwa jana pale Leaders club kwenye show ya Diamond
ambapo Wema Sepetu alipanda kwenye *
*stage na kuongea na mashabiki waliofika kwenye show hiyo.*
*Kwenye hiyo show Diamond aliuliza,”Mnataka kumjua mchumba wangu”?*
*Show ilivyoendelea Diamond alitaka kuimba wimbo wa ukimwona akasema,
“Naskia ninayetaka kumuimbia wimbo huu yupo humuhumu ndani”.*
*Wema Sepetu akapanda kwenye stage wakaimba na kucheza wote.*
[image: 994992_654719497904805_1370630389_n]
[image: 379719_654725334570888_100223854_n]
[image: 1499625_654740321236056_1133727884_n]
Je Unaweza Kumruhusu Mchumba Wako Atoke na Wewe Usiku Akiwa Amevae Hivi Kwenda Kwenye Pati ya Krismas? [PICHA]
MPUMBIYE at MPUMBIYE THE DON - 6 hours ago

Kwa hiyo ndio kusema huu ndio mtindo gani aliovaa huyu binti? Jamani hii ni
sawa kweli? Je unaweza kutoka naye akiwa maevaa hivi...?
Angalia picha zaidi hapo chini...
PICHA ZA KRISMAS: Shamrashamra Pande Mbalimbali za Dunia [PICHA]
mpumbiye at mpumbiye - 6 hours ago

IndonesiaNimejaribu kukusanya baadhi ya picha nzuri za matukio ya Krismas
kutoka pande mbalimbali Duniani kwa ajili yako ili uweze kuona nguvu ya
Krismas ilivyo.
Enjoy....
AustraliaFranceGreeceHong KongIndiaIsraelIsraelPakistanPalestineUK
South Korea
JE, WEWE NI MMOJA KATI YA WATU WENYE AIBU MBELE ZA WATU WENGINE..?DAWA IKO HAPA.
Mpumbiyeat mpumbiye - 1 day ago

*Watu wenye aibu ndani yao wanafahamu fika kuwa kuna mambo mazuri
yanawapita lakini wanahisi hawana jinsi ya kubadilisha hali hiyo.*
*Aibu kimahesabu ni sawa na:*
*AIBU = KUKOSA FURSA + KUKOSA FURAHA + KUFAHAMIANA NA WATU WACHACHE*
*Aibu ni kizuizi kikubwa sana kwa mwenye nayo kufikia mambo mazuri katika
jamii.*
*Lakini naomba nikuambie hata kama wewe ni mmoja wao kuanzia leo *
*unaweza kubadilisha hali hiyo kwa kutumia hatua zifuatazo:*
*1.MTAZAMO WAKO JUU YA WATU WENGINE*
*Watu wenye aibu mara nyingi wanajaribu kujitofautisha na *
*watu wapya wanaokutana nao na kuwapa hadhi ina... more »
Tuesday, December 24, 2013
innocent mpumbiye: P.Diddy Kwenye Picha ya Pamoja na Watoto Wake Sita...
mpumbiye: P.Diddy Kwenye Picha ya Pamoja na Watoto Wake Sita...: Diddy inaonekana anataka kusherehekea sikukuu kwa mtindo wa kipekee. Hivi karibuni alipiga picha akiwa na watoto wake wote sita kwa aji...
innocent mpumbiye: Baada ya Kichapo Toka kwa Mahasimu Wao Yanga Yamti...
mpumbiye: Baada ya Kichapo Toka kwa Mahasimu Wao Yanga Yamti...: Muda mchache uliopita klabu ya Yanga imetangaza kumtimua kocha wake Raia wa Uholanzi aitwaye Ernie Brandts, hii ikiwa ni siku chache t...
Subscribe to:
Posts (Atom)
3 comments: