Tuesday, February 11, 2014
Linex akanusha kuwa na uhusiano wa mapenzi na Agnes Masogange, 'Sina haraka ya kuwa na mpenzi'

Kupitia
akaunti yake ya Facebook, mkali huyo wa ‘Kimugina’ ameonesha
kusikitishwa na habari iliyoandikwa na tovuti moja kuwa yeye na Agnes
wako kwenye mapenzi mazito.
“ni
kweli watu wa blog mnapush sana kazi zetu but nimesikitishwa na habari
hii iliyoandikwa na blog kadhaa mtasababisha tutashindwa ata kukaa na
Dada zetu au marafiki zetu Uliza b4 Hujaandika ujinga am single na sina
haraka ya kua na mpenzi.” Ameandika kwenye Facebook.
Wikendi
hii, Linex alipost picha mbili Instagram akiwa na mrembo huyo, moja
wakiwa wamepoz ufukweni, na nyingine akiwa naye katika mechi ya mpira wa
kikapu kati ya timu za madirector wa video za muziki Tanzania, Adam
Juma na Karaban.
No comments:
Post a Comment
ADD COMMENTS